Nyumba inauzwa, malipo kwa Awamu

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
456
1,000
Nyumba inauzwa
Bei=mil40
Mahali=Twangoma km 2.5 kutoka barabara ya rami ya kigamboni.
Vyumba 3 vikubwa, kimoja master .
Sebule kubwa, dining,choo cha public .
Eneo la kujenga nyumba nyingine lipo .
Kama una cash, maelewano yapo .
Kulipa kwa awamu fixed 40mil.

 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
25,704
2,000
Still Bado bei Kubwa,
Ukitoa Kiwanja 10 mil hapo hiyo 30mil iliyobaki ni kubwa sana ukilinganisha kwa hapo nyumba ilipofikia
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,950
2,000
kama kiwanja kimepimwa hakina longo longo 30m ipo.. nakupa m20 next week.. na kila mwezi 1m hadi itimie 10m yako... nichek pm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom