nipe ring piston za gari

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Piston ring za Suzuki samorai G13B set moja std, main berring std, condrand berring std, over oll gasgate, 0754459572
 
Nafikiri na mzaliwa wa huko au umekulia maana unawajua tabia na maneno yao ya kuforce!
Nyakarungu ni mzaliwa wa Serengeti, namfahamu hadi kwa sura na kazi yake na mahali alipo na mahali aliposoma
 
Piston ring za Suzuki samorai G13B set moja std, main berring std, condrand berring std, over oll gasgate, 0754459572

Mkuu nikusahihishe kidogo ni Suzuki Samurai G13B Piston Ring Standard, Main Bearing Standard, Connecting Rod (Conrod) Bearing standard & Overhaul Gasket (hapa kuna gasket nyingi ikiwemo ile ya muhimu kabisa - Cylinder Head Gasket). Kusahihisha kidogo tu ili ieleweke.
Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom