[emoji121]
WAKUU,
KWA ANAYEJUA UTARATIBU WA KUPATA LINE YA TIGO YA KUFANYIA BIASHARA YA KUUZA VOCHA ZA KURUSHA AU KUUNGANISHA VIFURUSHI
ANIJUZE.
NA KWA ALIYE/ANAYEFANYA HII BIASHARA ANIJUZE FAIDA...
Chuo cha teknolojia na ufundi KIITEC kilichopo Arusha, kinawatangazia wahitimu wote wa shule ya sekondari nafasi ya kujiunga na kozi za diploma na cheti.
chuo kinatoa diploma inayotambuliwa na...
Mwenye uhitaji wa matangazo ya design kama hili kwenye picha, professional ndani ya masaa 24...Bei 3,000...na kwa Tsh. 5,000 nitakuwekea kwenye... biasharabusiness.com... na fb, whatsapp, tweeter...
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta mtu wa kufungua nae maabara kwa ajiri ya tution ya vijana wa secondary ngazi zote, sifa ya mtu huyo awe ni mwalim mwenye ujuzi na issue hizo, au...
Nyumba hii ipo kibamba kwa mange karibu na kibamba hospitali. Maelezo mengine ni kama ifuatavyo.
1. Hati-Haipo
2.Design ya nyumba ni two in one..kila upande ukiwa na vyumba viwili vya kulala..zote...
Nyumba ipo Twangoma mwapemba km 2.5 kutoka barabara ya kigamboni
Vyumba 3 vikubwa kimoja master
Sebule kubwa
Dining
Jiko
Choo cha public
Eneo la kiwanja ni 40*25
Eneo la kujenga nyumba...
Make : Toyota
Model : IST
Mileage : 91,914km
Engine size: 1,490cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2002
Doors : 4
Seats : 5...
Make : Toyota
Model : Harrier
Mileage : 160,421km
Engine size: 2,990cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 1999
Doors : 5
Seats ...
Wapendwa,
Naomba mnisaidie, nahitaji kwenda zanzibar kwa mara ya kwanza nikiwa na wife kwa ajili ya kuiona zanzibar. Naomba kuelekezwa hotel ya bei ya kawaida ambayo ina mazingira mazuri...
Wanakijiji wa wilaya ya Mkuranga,Pwani wamepima maeneo yao na kuamua kuuza kwa bei rahisi sana.Viwanja vimepimwa vizuri,vimekatwa barabara za mitaa na vipo eneo zuri,mabomba ya maji...
Kuna nyumba nzuri inapangishwa Arusha , ipo mwanzoni mwa Nambere na Sekei, ina master bedroom kubwa,vyumba viwili vya kulala-makabati ya ukutani yapo,sebule na dining kubwa,jiko la...
Habari zenu wana JF
Naomba kufahamu ni center zipi kwa mkoa wa Dar es salaam wanatoa mafunzo ya computer?
Na ada zao zipoje?
Kwa anaefahamu naomba kujuzwa
Asanteni.
Iwapo una kazi inayohitaji Translation au editing, karibu sana.
Inaweza kuwa ni:
- muswada for editing
- kitabu (for translation)
- ripoti for editing
- movie for subtitling
nk.