Arusha:Nyumba nzuri inapangishwa

Kidasa

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
309
250
Kuna nyumba nzuri inapangishwa Arusha , ipo mwanzoni mwa Nambere na Sekei, ina master bedroom kubwa,vyumba viwili vya kulala-makabati ya ukutani yapo,sebule na dining kubwa,jiko la kisasa lina makabati, public toilet ndani na nje.Nyumba ipo fenced na kuna parking kubwa, garden ya nje nzuri .Maji ni masaa 24 na kuna water tank reservoir ya lita 5000 .Gypsum , tiles na Paving tiles za nje .Mandhari ni nzuri sana na kuna hali ya hewa safi . Kutoka hapo mpaka Mount Meru hotel ni robo tatu kilometa. Kwa anayedrive ni dkt kumi tu kufika mjini.
Bei ni Tzs 400,000/= kwa mwezi.Malipo ni miezi 6.
Contancts: 0762 30 54 32 . KARIBUNI SANA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom