Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Zinauzwa bei gani hizi? Napenda kufahamu bei yake ya dukani bila kudanganyana
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anayehitaji machine ya maximalipo ani-pm tuongee
1 Reactions
4 Replies
1K Views
.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Toyota Corolla X inauzwa<br />Gari iko vizuri sana na haidaiwi,<br />Kwa mawasiliano zaidi nitafute kwa<br />0652953807<br />kinyashi41@gmail.com
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Internal 16 GB, RAM 2 GB, camera back 13 megapixels.front 13 megapixels, iris scanner..bei ni 190,000 haipungui njoo pm kwa serious buyer.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Naomba yoyote aliye freelancer aje hapa tupeane mbinu za kuwin bid na mengineyo please.
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Habari,kichwa cha habari chahusika,nimepata tatizo kidogo so kwa anayeweza kunikopesha kiasi tajwa hapo juu. Ninafanya kazi na kat ya tarehe 1 mpaka 3 nitakuwa nalipa so kwa siku kumi tu.Kuhusu...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Vitabu vya bure Public Domain | Feedbooks
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Natafuta duka la chemical ambalo linauza chemicali kwa reja reja Dar au Arusha. Nahitaji propylene glycol(PG). Kwa anayefahamu duka lolote nitakaloweza pata hiyo glycerin naomba aniambie.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza sungura wa kisasa mmoja 30,000 nipo mbezi makabe Dar Call/whatsapp 0753534514
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa yoyote anaeuza king'amuzi cha Azam chenye dikoda, waya na dish lake kina hitajika leo.Pesa iliyopo ni elfu sabini(70,000/=). Piga simu hii fasta. Nipo Dar. 0784 999 995.
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Salaam kwenu wakuu! Ninauza ubuyu wa Babu Issa toka znz. Ni ubuyu mtamu sana wenye pilipili vimto pamoja na vanila. Ambao wanaufahamu watashuhudia jinsi ulivyo mtamu. Packet moja kama...
1 Reactions
18 Replies
13K Views
Azamtv sasa inakuletea kifurushi cha wiki yaani siku 7 kwa Tsh 5,000 tu kwa chanel 50 ....
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kujua hapa dar es salaam ni showroom gani yenye vitanda vizuri na imara pamoja na sofa nzuri na imara kwa bei anayoweza kui-access mtu yeyote mwenye kipato cha kawaida ila anayependa vitu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari za asubuhi? nilikuwa nauliza maduka yanayouza simu za sony na vifaa vyake nitayapata wapi kwa Dar-we-salaam?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu nauza mbuzi jike mkubwa na mdogo dume. Ukitaka kwa wote bei ni laki 140 na wapo katika hali njema. Ukitaka mmoja wapo ni maelewano. Mbuzi wanapatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza sungura wa kisasa mmoja 30,000 nipo mbezi makabe Call/whatsapp 0753534514
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyosema,natafuta nyumba. Sitaki madali. Nataka mwenye nyumba tu awasiliane na mimi. Maeneo: Mbezi,'Mikocheni Tozo:Laki tano ndio bajeti yetu,itategemea na eneo husika. Nyumba...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Wakuu amani iwe kwenu wote. Nimefungua kiwanda cha kusagisha na kupack unga wa mahindi wa Sembe na Dona. Taarifa za mradi ni hizi. 1. Mashine ipo Mbalizi Mbeya. 2. Ina uwezo wa kusaga Unga wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Za siku wanajamvi, Ndugu zangu natafuta photo printer yenye uwezo wa kuprint picha za nchi 5 kwa 7 na kuendelea. Mashine nayojua yenye uwezo huo ni HiTi P510K, nimeitafuta Arusha na Moshi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…