Natafuta Photo printer

Natafuta Photo printer

Joined
May 12, 2014
Posts
79
Reaction score
9
Za siku wanajamvi,
Ndugu zangu natafuta photo printer yenye uwezo wa kuprint picha za nchi 5 kwa 7 na kuendelea.
Mashine nayojua yenye uwezo huo ni HiTi P510K, nimeitafuta Arusha na Moshi sijafanikiwa kupata. Nimetuma watu wa Dar na Mwanza waniangalizie na hawajafanikiwa.
Naombeni msaada wenu kwa anaye jua ninaweza pata wap?
Nia yangu ni kujiajiri kwa kufungu photo studio ( coulor lab) ivi natafuta printer yenye uwezo wa kutoa picha za ukubwa mbali mbali vile vile natafuta mashine ya kuprint ID. Je kuna anaye fahamu mashine iyo inaitwaje?
Tanx in advance
 
Ipo photosmart printer utaprint picha hadi size ya A4 quality nzuri sana na kwa gharama za chini ajabu sawa na bure maanake faida ni zaidi ya 100% ipo Arusha Kaloleni. Nipigie 0784626616
 
Za siku wanajamvi,
Ndugu zangu natafuta photo printer yenye uwezo wa kuprint picha za nchi 5 kwa 7 na kuendelea.
Mashine nayojua yenye uwezo huo ni HiTi P510K, nimeitafuta Arusha na Moshi sijafanikiwa kupata. Nimetuma watu wa Dar na Mwanza waniangalizie na hawajafanikiwa.
Naombeni msaada wenu kwa anaye jua ninaweza pata wap?
Nia yangu ni kujiajiri kwa kufungu photo studio ( coulor lab) ivi natafuta printer yenye uwezo wa kutoa picha za ukubwa mbali mbali vile vile natafuta mashine ya kuprint ID. Je kuna anaye fahamu mashine iyo inaitwaje?
Tanx in advance
Nimeiweka tangazo utanitafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom