Wanafreelancer

Wanafreelancer

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
5,126
Reaction score
13,109
Naomba yoyote aliye freelancer aje hapa tupeane mbinu za kuwin bid na mengineyo please.
 
Freelancer ni general term, wapo wanaofasjiri laini za simu ni freelancer, wapo wambao ni computer programmer nao ni freelancer, wapo wanao fanya marketing kama freelancer.
Sema unataka freelancer wa aina gani kupeana ujuzi
 
App ya freelancer vp?
 
Back
Top Bottom