Wakuu amani iwe kwenu wote. Nimefungua kiwanda cha kusagisha na kupack unga wa mahindi wa Sembe na Dona. Taarifa za mradi ni hizi.
1. Mashine ipo Mbalizi Mbeya.
2. Ina uwezo wa kusaga Unga wa Sembe na Dona.
3. Inaweza Kusaga tani 30-40 (Gunia 300 to 400) kwa masaa 24.
4. Tunapack sembe ya mteja na kushona mifuko kwa vifungashio vya kilo 5,10,25 na 50.
5. Usimamizi ni mzuri, Hakuna upotevu wa mahindi, Unga wala mali yeyote ya mteja.
6. Tunamsaidia mteja kwa kumtafutia Mahindi ya kusaga.
7. Gharama za kusaga ni Tsh 50000 kwa Tani ya Mahindi au mteja anaweza kuacha pumba na kusaga bure kabisa. Kwa dona ni Tsh 40000 kwa tani.
Muhimu: Kwetu mteja ni mfalme.
Pia tunaweza fanya biashara na mtu yeyote kwa namna ifuatayo.
1. Binafsi nina masoko yangu ya Sembe. Kwa sasa sina capital ya kutosha kufanya delivery. Kwa hiyo, Kwa yeyote ambaye anafanya hii biashara ila hana soko, Tunaweza muunganisha na soko ila Sharti awe mteja wetu, tumsagie mzigo wake
2. Kwa lenders binafsi wanaweza invest kwa kuwekeza finance kwetu na kukubaliana juu ya riba kwa mwezi. Dhamana ni Mashine zenyewe.
3. Kwa mwenye msaada wa link ya financiers, Iwe microfinance, SACCOSS, Banks or Individual lenders wanaweza kuniwezesha capital kwa dhamana ya mashine wanaweza kunisadia pia. NB: Nimejaribu CRDB ya Mbalizi wamesema hali ya uchumi ya Nchi sio nzuri so hawataweza kunikopesha.
Karibuni wote, wateja na wadau wengine kwa uishauri na maswali. Kwa mawasiliano Unaweza ku PM au calling at 0625587734. Asanteni