Awadh Mbwana
Member
- Oct 24, 2014
- 52
- 40
Azamtv sasa inakuletea kifurushi cha wiki yaani siku 7 kwa Tsh 5,000 tu kwa chanel 50 ....
AZAMTV,hd pia inaonyesha ligi za nyumban na vpind mbalimbali vya kuvutia jpo kuwa kuna baadh ya chanel znashabiana na zle za startimes,Jaman npen Faida na ubora wa king'amuz cha azam ukilinganisha na hasara za star times
Kweli ila co kila mwez utakua nayo hyo imewekwa kwa yle ambaye amekosa 15,000 na akawa na 5,000 akalipia na kuendelea kufurahia vpindi avipendavyoKama kwa wiki 5000, bora nijiunge cha 15000 mwezi mzima
Vipi kifurush kikiisha kuna channel znazobaki??? Hata chache??.maana startmes wanakata zote hata za nyumban hawaachi hata mojaAZAMTV,hd pia inaonyesha ligi za nyumban na vpind mbalimbali vya kuvutia jpo kuwa kuna baadh ya chanel znashabiana na zle za startimes,
STARTIMES,Bei yke nafuu kuanzia vifaa hdi vifurush vyke
kuna chanel mbili tv1 na tbc na zile chanel za ziada ambazo hta km ujalipia unazipataVipi kifurush kikiisha kuna channel znazobaki??? Hata chache??.maana startmes wanakata zote hata za nyumban hawaachi hata moja