Tecno C7 inauzwa 190

nyamima

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
211
225
Internal 16 GB, RAM 2 GB, camera back 13 megapixels.front 13 megapixels, iris scanner..bei ni 190,000 haipungui njoo pm kwa serious buyer.
 

Attachments

Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
1,382
2,000
Dukani Mpya C8 kwa sasa unaipata kwa 280.000 tu . Hiyo bei sio HALISI kwa simu hiyo.
 

nyamima

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
211
225
Dukani Mpya C8 kwa sasa unaipata kwa 280.000 tu . Hiyo bei sio HALISI kwa simu hiyo.
Ila kiuwezo tecno c7 inauwez kuliko c8 yaan c7 haina tofaut sana na c9 sema size tu..so huwez fananisha c8 na c7,c7 ina uwezo zaid.
 

nyamima

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
211
225
Mimi nimemsoma lakini ni muongo yani c7 inauwezo kuliko c8 mungo kabisaa
Ndo ukwel or uliza vzr wanaojua cm c8 camera nyuma megpxl 13 mbele megpxl 5 wakat c7 ina 13 kwa zote yan nyum na mbele, c8 RAM ni 1gb...wakat c7 ni 2 gb afu bado tubishane ndugu yangu ila km uwezo ni ukubwa utakua sawa mana ilichozid c8 ni ukubwa tuu zaid ya hapo haina cha kuizid c7 zaid imezidiwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom