Nahitaji mkopo wa laki 1 tu.(100,000)

Nahitaji mkopo wa laki 1 tu.(100,000)

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,041
Reaction score
2,131
Habari,kichwa cha habari chahusika,nimepata tatizo kidogo so kwa anayeweza kunikopesha kiasi tajwa hapo juu.
Ninafanya kazi na kat ya tarehe 1 mpaka 3 nitakuwa nalipa so kwa siku kumi tu.Kuhusu interest/riba nipo tayari.Nina kila kitu km salary slip,passport na hata ninapoishi na barua ya mwajiri ukiitaji itapatikana.Kwa atakayeweza tafadhari tuwasiliane 0714 411041
 
Nitakupaharaka mkuu iwapo
Vigezo na masharti kuzingatiwa hapa chini:-
1.barua ya mwajili
2.salary slip ya mwezi mei,2017
3.vyeti original kwa muda huo
4.baada ya kuonesha vipigwe mhuri na mwanasheria
5.Referee wawili watumishi wa serikali walokaguliwa kwa s/slip, ID ya NIDA & ID ya kazi
 
Hapo No 5.mmmhhh referee wawili wapo but waliokaguliwa salary slip mmmhhh.
 
Nitakupaharaka mkuu iwapo
Vigezo na masharti kuzingatiwa hapa chini:-
1.barua ya mwajili
2.salary slip ya mwezi mei,2017
3.vyeti original kwa muda huo
4.baada ya kuonesha vipigwe mhuri na mwanasheria
5.Referee wawili watumishi wa serikali walokaguliwa kwa s/slip, ID ya NIDA & ID ya kazi
Duh, mbona masharti ya milioni tano hayo...kwa laki moja nadhani salary slip ingetosha...coz hata barua ya Mwajiri nahisi kama ni kumchoresha tu kwa Mwajiri.
 
Nangoja response yako mkuu ndondocha
 
Nipo DSM Eneo Kawe(Tanganyika Parkers) hapa.Naishi hapa na nafanya kazi hapa hapa kawe.Binafsi sio km huyo nami nitakuonuesha mpaka ninapoishi na kufanyia kazi.
Tatizo uaminifu...unaweza kumuamini mtu na kumpatia pesa ikabaki kula kwako.. mimi kuna member mmoja nilimuazima pesa yangu humu mpaka leo sijarudishiwa na simu zake hazipatikani akipatikana hapokei
 
huna rafiki wa kukukopesha laki moja kweli.. au ndugu na jamaa.

laki moja sio hela ya kuitafuta mitandaoni...

nahisi wewe sio mlipaji wa madeni.. ndio maana kwa jamaa zako na majiran hukopesheki
 
Duh, mbona masharti ya milioni tani hayo...kwa laki moja nadhani salary slip ingetosha...coz hata barua ya Mwajiri nahisi kama ni kumchoresha tu kwa Mwajiri.
Hela ngumu kipindi hiki kaka FYATU binafsi nilikusudia kumsaidi huyu jamaa kwa hivyo visharti ila unaweza kumpa bila hayo masharti mkuu!
 
Tatizo uaminifu...unaweza kumuamini mtu na kumpatia pesa ikabaki kula kwako.. mimi kuna member mmoja nilimuazima pesa yangu humu mpaka leo sijarudishiwa na simu zake hazipatikani akipatikana hapokei
Ulianza vipi kumkopesha mlikuwa mnafahamiana vizuri?
 
Duh, mbona masharti ya milioni tani hayo...kwa laki moja nadhani salary slip ingetosha...coz hata barua ya Mwajiri nahisi kama ni kumchoresha tu kwa Mwajiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa anataka kumchoresha mshikaji.
 
Tatizo uaminifu...unaweza kumuamini mtu na kumpatia pesa ikabaki kula kwako.. mimi kuna member mmoja nilimuazima pesa yangu humu mpaka leo sijarudishiwa na simu zake hazipatikani akipatikana hapokei
Hahahhahah pole sana aisee daah hivi kumbe huwa mnawaamini watu Wa humu daaah .

Kwakweli mi ni ngumu kumuamini anonymous kwenye mambo ya kifedha .

Humu ndani matapeli chungu nzima

.
 
Nitakupaharaka mkuu iwapo
Vigezo na masharti kuzingatiwa hapa chini:-
1.barua ya mwajili
2.salary slip ya mwezi mei,2017
3.vyeti original kwa muda huo
4.baada ya kuonesha vipigwe mhuri na mwanasheria
5.Referee wawili watumishi wa serikali walokaguliwa kwa s/slip, ID ya NIDA & ID ya kazi
Duh we kiboko. Umesahau na kadi ya gari.
 
huna rafiki wa kukukopesha laki moja kweli.. au ndugu na jamaa.

laki moja sio hela ya kuitafuta mitandaoni...

nahisi wewe sio mlipaji wa madeni.. ndio maana kwa jamaa zako na majiran hukopesheki
Mi namuelewa jamaa. Unaweza ukawa na shida ya hela ndogo sana usipate kwa ndugu au rafiki. Mwenye kumsaidia amsaidie..
 
Back
Top Bottom