Cheki earphone nzur nitazipata duka gani na bei gani?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,761
2,000
883b7e2bea33da75786c20d7facec17d.jpg
f802152e345ea44968d38a2123466d2b.jpg
580cf378b959c511cb6a0818aacd7002.jpg
f45fc9df73335d890f8760b0af8acd0c.jpg
8b2dd3406d6aa6b506dcb6ddf927e95c.jpg

Zinauzwa bei gani hizi?
Napenda kufahamu bei yake ya dukani bila kudanganyana
 
The Ape

JF-Expert Member
May 9, 2014
331
500
Elfu 20... Unapata mpya dukani.Pia bei inaweza shuka lakini haitopungua elfu 15.

Ungetaja upo mkoani gani ili tujue uende duka gani.
 
mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
716
1,000
Zipo kwa grade og hadi 35000 fake zake 15000 hadi 10000. Ila vizuri nenda kwenye maduka ya samsung wenyewe unaweza kupata za bei nafuu maana kuna wateja wakinunua simu hasa samsung j5 au j7 huwa wanaacha hizo eaphone maana sio wapenzi....
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,761
2,000
Zipo kwa grade og hadi 35000 fake zake 15000 hadi 10000. Ila vizuri nenda kwenye maduka ya samsung wenyewe unaweza kupata za bei nafuu maana kuna wateja wakinunua simu hasa samsung j5 au j7 huwa wanaacha hizo eaphone maana sio wapenzi....
thanks mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom