Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

nyinda

Member
Oct 16, 2016
13
3
Salaam kwenu wakuu!

Ninauza ubuyu wa Babu Issa toka znz. Ni ubuyu mtamu sana wenye pilipili vimto pamoja na vanila. Ambao wanaufahamu watashuhudia jinsi ulivyo mtamu.

Packet moja kama inavyoonekana hapo pichani ni sh 1,500 rejareja na sh 1,200 bei ya jumla kuanzia packet 30.

Napatikana mwenge karibu na saluni ya Asnat au Tamali hotel.

0716147696, 0714789227. Tuwasiliane kwa namba hizo tuweze kufanya biashara.
 
Attachments

  • 20170609_191657.jpg
    20170609_191657.jpg
    150.5 KB · Views: 463
Salaam kwenu wakuu!

Ninauza ubuyu wa Babu Issa toka znz. Ni ubuyu mtamu sana wenye pilipili vimto pamoja na vanila. Ambao wanaufahamu watashuhudia jinsi ulivyo mtamu.

Packet moja kama inavyoonekana hapo pichani ni sh 1,500 rejareja na sh 1,200 bei ya jumla kuanzia packet 30.

Napatikana mwenge karibu na saluni ya Asnat au Tamali hotel.

0716147696, 0714789227. Tuwasiliane kwa namba hizo tuweze kufanya biashara.
Asante Sana mkuu
 
mkuu ubuyu wako unazid utamu wa ule wa mama Yahya mke wa mzee Samri pale Migombani kwenye nyumba ya rangi ya bluu..?
 
Nimeuza sana huo ubuyu tatizo siku hizi wanaringa, Wateja wengi wamekuwa na kauli mbovu kwa wanunuzi hasa huyu mdada anayepokea simu, nikaona isiwe shida pesa yangu waniringie nikaacha
 
Nimeuza sana huo ubuyu tatizo siku hizi wanaringa, Wateja wengi wamekuwa na kauli mbovu kwa wanunuzi hasa huyu mdada anayepokea simu, nikaona isiwe shida pesa yangu waniringie nikaacha
Hiyo ni changamoto kubwa kwakweli. Hasa baada ya kupata mteja mkubwa 'shilawadu' imekuwa shiiidaa order zinachelewa sana. Ila mimi bado sijakata tamaa, changamoto hizo nazivumilia tuu.
 
Hiyo ni changamoto kubwa kwakweli. Hasa baada ya kupata mteja mkubwa 'shilawadu' imekuwa shiiidaa order zinachelewa sana. Ila mimi bado sijakata tamaa, changamoto hizo nazivumilia tuu.
Ucheleweshaji si tatizo, tatizo kauli, anaweza kupokea simu akajibu hovyo, wengine tuna hasira za karibu naweza kujivunjia heshima bure kwa kweli nimeacha, wengi wamekata tamaa sijui hilo hawalielewi? Ila kwa wenzetu ndio kwanza wanashukuru maana wamepunguziwa kazi.
 
Karibuni wapendwa ubuyu mtamu bado upo. Baba nunulia mke na watoto nyumbani kwa bei nzuri kabisaa
 
Karibuni sana ubuyu bado upo na tupo wazi dukani mwenge kila siku hadi saa 2 usiku. Piga namba hizo uelekezwe vizuri. Ubuyu ni mtamu sana hutajuta kuununua
 
Hapo ndipo napochoka nchi hii ubuyu unatoka dodoma tamga bagamoyo pwani unapelekwa zenji kuwa processed then unarudi tanganyika kuuzwa !shikamoo ujuzi
 
Hata dodoma ubuyu unakua processed hata hapa dar pia. Kila mtu na namna yake ya kuutengeneza na kila mteja ana taste yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom