hp probook 6360b used with good condition ,
#processor 2.3ghz
#Ram 4
#battery 2-3 hours
*negotiation is allowed*
#price 350000 Tsh
contact no. 0719792928
location dar es salaam...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
Habari za humu wadau?.., ninakusanya ukwaju usiopungua tani moja na nusu, kwa aliye tayari kununua anaweza kunifuata inbox kwa maongezi zaidi. Karibuni!
Ni sehem gan kwa dar es salaam wanauza vitu vya kielectronics kma vile sim, TVs PC's games etc kwa bei rahisi ukiachilia mbali kariakoo....
Msaada tafadhari
Habari,kichwa cha habari chahusika,nimepata tatizo kidogo so kwa anayeweza kunikopesha kiasi tajwa hapo juu.
Ninafanya kazi na kat ya tarehe 1 mpaka 3 nitakuwa nalipa so kwa siku kumi tu.Kuhusu...
Natafuta duka la chemical ambalo linauza chemicali kwa reja reja Dar au Arusha.
Nahitaji propylene glycol(PG).
Kwa anayefahamu duka lolote nitakaloweza pata hiyo glycerin naomba aniambie.
Kwa yoyote anaeuza king'amuzi cha Azam chenye dikoda, waya na dish lake kina hitajika leo.Pesa iliyopo ni elfu sabini(70,000/=).
Piga simu hii fasta. Nipo Dar. 0784 999 995.
Salaam kwenu wakuu!
Ninauza ubuyu wa Babu Issa toka znz. Ni ubuyu mtamu sana wenye pilipili vimto pamoja na vanila. Ambao wanaufahamu watashuhudia jinsi ulivyo mtamu.
Packet moja kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.