Kama unajua maana ya marketing basi usiweke picha mkuu then utaona hatma ya tangazo lakoElewa kiswahili ndugu, kama upo serious utanitafuta
Sent from my HUAWEI MATE 9 using JamiiForums mobile app
Mtu hawezi kuwa serious wakati wewe hauko serious na biashara y'ako. Huwez sema nauza nyanya huku umeziweka chumbaniElewa kiswahili ndugu, kama upo serious utanitafuta
Sent from my HUAWEI MATE 9 using JamiiForums mobile app
sawa mkuu wenye uhitaji watanitafuta kwa sabubu lugha yangu ni rahisi sana hapa sipost picha zinakataa kuwa uploded kwasababu ya format, kama unataka kuja whatsapp hutaki unaachaMtu hawezi kuwa serious wakati wewe hauko serious na biashara y'ako. Huwez sema nauza nyanya huku umeziweka chumbani
Big Baba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sawa mkuu wenye uhitaji watanitafuta kwa sabubu lugha yangu ni rahisi sana hapa sipost picha zinakataa kuwa uploded kwasababu ya format, kama unataka kuja whatsapp hutaki unaacha
Sent from my HUAWEI MATE 9 using JamiiForums mobile app
sawa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja kwanza uisome
Nothing is easier than blaming others for your own problems
sawa nashukuru kwa marekebishoNot thamani, ni samani
mwe mteja mbona mkaliWeka picha na bei, unampangia mteja wakati wewe ndo una shida ya kuuza?
Nothing is easier than blaming others for your own problems
nipo dar tabataUpo wapi
shikamoo JPM
Ndio kwanza miaka miwili bado miaka mitatu!!
Watu wanatii sheria bila shuruti: vilevile walivyo kuja ndio hivyohivyo wana rudi
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
ndio mkuu fursa ziko vijijini sahiv, tunatii agizo la mkuu wa kaya [emoji4]Safar jijn
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app