Credit Card in Tanzania

Credit Card in Tanzania

kwelakenya

Member
Joined
Jan 21, 2010
Posts
59
Reaction score
6
Hivi jamani,wapi naweza kupata credit card hapa Tanzania?Au njia yeyote ya ku make payment online?
 
Online Payments Jaribu kucheki paypal you can send money from Tanzania, process huenda ikawa ya kuchosha lakini in the end utafanikiwa.., alafu do a search on virtual credit cards.

Exim walikuwa nazo master cards ila sidhani kama bado zinafanya kazi wapigie for more information
 
I use CRDB lakini lazima kwanza uwajazie fomu fulani hivi.
 
Exim wana credit card lakini lazima uweke deposit half unapewa credit 80% ya deposit uliyowapa. They will give you interest though on your fixed deposit. There offer both MasterCard or VISA.
 
Exim wana credit card lakini lazima uweke deposit then unapewa credit 80% ya deposit uliyowapa. They will give you interest though on your fixed deposit. They offer both MasterCard or VISA.
 
STANBIC Ukiwa na foregn account outmatic una pata na Hiyo...wanasema inasumbua kwa ajiri ya exchange late..yaani wewe una account ya Tsh...wakupe credit card..uko kwenye transaction or payments wao wanakuwa na exchange yao na kule unako lipia exchange yao..full vurugu..ila ninajua baadhi ya watu wanatumia za CRDB...Mpaka marekani.
 
Exim wana credit card lakini lazima uweke deposit half unapewa credit 80% ya deposit uliyowapa. They will give you interest though on your fixed deposit. There offer both MasterCard or VISA.

vp hiyo account ni lazima iwe ya Tsh. au hata nikifungua ya US$ napata hiyo huduma?
 
mkuu unaweza kuwa na akaunti ya tshs ila utakua unaopigwa sana foreign exchange difference,fungua usd akaunti,unachenji madafu yako town kwa bureau unaenda ku deposit!easy
 
Tatizo la CC Tanzania linachangiwa na kutokuwa na anuani za nyumbani za kudumu na mtindo uliopitwa na wakati wa kutumia box numbers. Serikali inasuasua kuanzisha vitambulisho pamoja na post code address kwa kukimbia jukumu lake la kuondoa umasikini kwa raia wake. Bila mambo hayo CC itakuwa kwa chosen few wenye nacho.
 
Kama wewe ni mteja wa CRDB nenda tawi lolote unajaza form baadae watai-activate card yako. Mimi nilifanya hivyo na nimeshanunua vitu toka nje ya Tanzania mara nyingi tu bila matatizo. Kwa sasa nipo nje ya nchi lakini still naweza kutumia my pesa zilizoko bongo kununua vitu online.
 
Ni free mkuu???
 
Hamna free mkuu hapo si chini 10000 kwa hiyo form tu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hivi jamani,wapi naweza kupata credit card hapa Tanzania?Au njia yeyote ya ku make payment online?
Kama.lengo ni online payments check bancABC watakupatia kafi gharama 15000 huitaji kuwa hata na.acc utaweka ela via tgo pesa au mpesa utafanya online payments ukitaka itoa utaitolea atm
 
Back
Top Bottom