INAUZWA Nauza project yangu ya nguruwe

Susan85

Member
May 23, 2017
86
19
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawilitumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo kiromo.ninauza plot nilipojenga mradi pamoja na mradi wenyewe.Nina vijana wawili wanaosimamia ambao wako wazuri tu na wamiinifu.lengo nauza mwezangu anataka finance ya haraka ya tender nyingine aliyopata na ule ni mradi Wa kusubiri.more info.picha zilikuwa kwenye simu nyingine ilingia virus mpk niende shamba.inbox me if interested in buying the project or whatssap me on 0786057996.
 
Mkuu kuwa muwazi tiririka apa tukijiweza ndio tuje PM wengine PM tunaogopa maTP wengi ss
Sasa mtu ata kutapeli vipi?
PM ni njia ya masasiliano kama SMS,Calls etc
Au ukituma PM tu,umeshaliwa pesa?
Bado sijaelewa mtu anawezaje kukutapeli kwa PM?

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Ok lakini ungesaidia kuweka bei then mtu aje PM ingekua safi zaid

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nimeweka bei hio bila nguruwe ili MTU asilazimike kuchukua Nguruwe wote Bali achague yeye mwenyewe idadi ya Nguruwe atayependa kwanza nao kwa kuligana na mfuko wake.soko ni kubwa sana bagamoyo mjini wanachukua kilo 80 kila baada ya siku mbili na bado kushuka line ya Tegeta na order za nyumba kwa nyumba.eneo tayari lina maji na umeme.

Mbona umepaniki mi nimependa uu mradi sijajua risk zake labda ungetufamisha,..kwa mtu ambaye hataki kuwauza kwa sasa, lengo la kuwazalisha..risk ni zipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom