Natafuta bajaji (pikipiki ya miguu mitatu) ya biashara

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,497
605
Kama kichwa cha habari inavyosoma hapo juu,natafuta bajaji ya kununua na vilevile kama ukiweza kunikopesha niweze kulipa kidogo kidogo kwa awamu, zingine itakuwa vyema zaidi.nahitaji bajaji sita.natanguliza shukrani
 
kama kichwa cha habari inavyosoma hapo juu,natafuta bajaji ya kununua na vilevile kama ukiweza kunikopesha niweze kulipa kidogo kidogo kwa awamu, zingine itakuwa vyema zaidi.nahitaji bajaji sita.natanguliza shukrani
Unataka kukopeshwa bajaji!!! Hujasema unataka used au brand new, kama ni used inabidi useme offer yako na kama ni mpya nenda pale sayansi/kijitonyama uliza wauzaji wa bajaji GX investment.
 
Nataka brand new brother,offer yangu ni milioni sita (6M)
 
"Unaitafuta bajaji" kwa maana hiyo imepotea au,,,,,,? Piga cm polis wakusaidie kutafuta,,,,!
 
Jamani kama kuna mtu Anayo TVs imechoka anahisi hana pa kuiuza ina kadi na vibali anicheki mi nanunua hata iwe imechoka,iwe haitembei, Iwe juu ya mawe offer yangu ni 500,000/ isiwe piagio isiwe bajaji re iwe ni tvs ni inbox fasta
 
Kama kichwa cha habari inavyosoma hapo juu,natafuta bajaji ya kununua na vilevile kama ukiweza kunikopesha niweze kulipa kidogo kidogo kwa awamu, zingine itakuwa vyema zaidi.nahitaji bajaji sita.natanguliza shukrani
Hiyo ni biashara kichaa achana nayo
 
Nataka brand new brother,offer yangu ni milioni sita (6M)
Ipo used mkuu imesimama vizuri
940fa82b8cdde6663fea89fa39fb4ae4.jpg
c9254ea01acd3cc267aba9af15213336.jpg

3.9m
 
Back
Top Bottom