Natafuta shamba heka moja handeni tanga

Natafuta shamba heka moja handeni tanga

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
1,858
Reaction score
2,302
Habari wakuu kama kunamwenyeji wa handeni naomba msaada wa kupata eneo la heka moja linalofaa kwa ufugaji wa kuku na mbuzi na kama kunaanaye hitaji kushirikiana kwenye hili anakaribishwa pia
 
Back
Top Bottom