Shamba kwa ajili ya Kilimo cha Biashara linahitajika Morogoro.

Heaven Seeker

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2017
Posts
479
Reaction score
1,080
Kichwa cha thread hapo juu chahusika.
UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5.

SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji.
Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au Mvomero.

MATUMIZI: Kilimo cha Umwagiliaji wa mazao mbalimbali , hasa Mboga mboga na Matunda.

Mwenye nalo au atakayeweza fanikisha upatikanani wa Shamba hilo kwa ajili ya kununua tuwasiliane na nitashukuru kwa ushirikiano.
 
Na hapo Kisaki ni umbali gani kutoka Morogoro mjini.?
 
Kichwa cha thread hapo juu chahusika.
UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5.

SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji.
Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au Mvomero.

MATUMIZI: Kilimo cha Umwagiliaji wa mazao mbalimbali , hasa Mboga mboga na Matunda.

Mwenye nalo au atakayeweza fanikisha upatikanani wa Shamba hilo kwa ajili ya kununua tuwasiliane na nitashukuru kwa ushirikiano.
Njoo inbox. shamba utapata 100 acres. mto unapita katikati! Lipo Ifakara lakini.
 
Back
Top Bottom