Shamba kwa ajili ya Kilimo cha Biashara Morogoro linahitajika.

Shamba kwa ajili ya Kilimo cha Biashara Morogoro linahitajika.

Heaven Seeker

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2017
Posts
479
Reaction score
1,080
Kichwa cha thread hapo juu chahusika.

UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5.

SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji.
Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au Mvomero.

MATUMIZI: Kilimo cha Umwagiliaji wa mazao mbalimbali , hasa Mboga mboga na Matunda.

Mwenye nalo au atakayeweza fanikisha upatikanani wa Shamba hilo kwa ajili ya kununua tuwasiliane na nitashukuru kwa ushirikiano.
 
Back
Top Bottom