NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,848
- 5,121
Shukrani kwa kunikosoa kukubali kukosolewa ni jambo jema.Leo mkuu sina miwaniUnaharaka sana hadi unaandika upepi badala ya upepo.
Unapoandika mada mpya lazima uihakiki kabla ya kuiposti.
Maneno machache tu unashindwa kupitia upya, uko makini kweli ?
Sema, unahitaji pampu ya upepo. nani anajua inapopatikana ?
Mimi nahitaji umeme wa upepo mwenye taarifa aniaeleze tafadhali.
Mimi nahitaji umeme wa upepo mwenye taarifa aniaeleze tafadhali.
Mimi ninayo land Air X wind generator (turnine) 400W 12v iliyotengenezwa na Southwest wind company ya Marekani
Nimeitumia kwa karibu miaka 10. Kwa kweli ni nzuri na imara. Tatizo nililolipata ni kwamba kwangu upepo ni kidogo, naifaidi zaidi wakati wa kiangazi, Hivyo nililazimika kufunga hybrid system - yaani niliongezea na solar system ya 400W
Hapa kwetu zinapatikana wapi hizo wind generator.Mimi ninayo land Air X wind generator (turnine) 400W 12v iliyotengenezwa na Southwest wind company ya Marekani
Nimeitumia kwa karibu miaka 10. Kwa kweli ni nzuri na imara. Tatizo nililolipata ni kwamba kwangu upepo ni kidogo, naifaidi zaidi wakati wa kiangazi, Hivyo nililazimika kufunga hybrid system - yaani niliongezea na solar system ya 400W
Kwa Dar nenda Ubungo External nje ya majengo ya EPZ au TFDA kuna jamaa wanaziundaga pale.Hapa kwetu zinapatikana wapi hizo wind generator.
Sawa mkuu nitatembelea hapo siku mojaKwa Dar nenda Ubungo External nje ya majengo ya EPZ au TFDA kuna jamaa wanaziundaga pale.
Reliability yake sijui maana sijawahi kuzitumiaga
Hiyo siyo pump ya upepo, ni generator inayotumia upepo. Nilikuwa namjibu aliyehitaji umeme wa upepoBei gani mkuu hiyo pumpu ya upepo na uwezo wake inavuta maji mita ngapi chini ya ardhi?
Nilinunua Nairobi wakati huo, kwa sasa sijui kama bado zinapatikana maana ni miaka mingi na technology inavyokimbia, sijui. Kwa Tanzania sijui zinapatikana wapi ila nitajaribu ku-googleHapa kwetu zinapatikana wapi hizo wind generator.
kwahiyo Mkuu hiyo land Air X wind generator (turnine) 400W 12v inatumia upepo kuzalisha umeme na kwa kiwango gani kama kuna upatikanaji wa upepo wa kutosha?Nilikuwa na wazo la windmills, ila kama ulivyosema kwenye post yako hapo juu (12), sina uhakika maji yakishavutwa toka chini yanaweza kwenda tena juu kiasi gani,
Kama kuna uwezekano, tumia water pump za kawaida. Kama maji unayatoa ziwani na unayapeleka mahali ambapo mwinuko si mkubwa basi water pump ya kawaida inayotumia petrol inweaza kufanya vizuri.
Kama kuna umeme wa uhakika waweza pia kutumia submersible water pump