Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Katika pita pita zangu nimekutana na wauzaji wengi wa viwanja na nyumba lakini cha kusikitisha asilimia 98 ya wauzaji hawana Hati. Ukakasi unakuja pale mtu anauza nyumba ya Millions 200 au zaidi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NAKODISHA GARI AINA YA GX 100 IKO KATIKA HALI NZURI, BEI NI MAELEWANO, KWA MTU BINAFSI AU KAMPUNI, MAWASILIANO NI 0752353146
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu!. mwaka 2015 nilianza kufanya huduma ya fedha kwenye simu ya m-pesa,tigopesa na airtel money. Kwakuwa nilikuwa sina vigezo vya kupata TILL moja kwa moja toka kwnye mtandao husika...
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Natumai wana Jf wote mko salama bin salimini. Baada ya kujua hali zenu nawakaribisheni katika kuongeza maarifa kupitia usomaji wa RIWAYA yangu iitwayo "HALIKUWA CHAGUO LANGU". Hakika ni kitabu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau mliopo Bariadi changamkieni ofa hiyo bila kusita. Mnyerede
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Wadau nauliza mahindi ya kibaigwa yanatoka vijiji gani? Kuna mtu alinieleza yanatoka kilindi lkn kijiji hajanitajia nataka kujaribu hiyo biashara mwenye maelezo ya kutosha anieleza tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Natengeneza Logo Tzs.20,000 pia nadesign Matangazo yakutumia kwenye social media e.g. whatsapp/facebook/instagram...!!! Napatikana Mikocheni B, Mwenye uhitaji...!!! Whatsapp/Call: 0624132227
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarii zenuu wanajamviii naombaa mnisaidiee ninatablet yanguu ya samsung tab2 imenigomea kufanya kazi nikiiwashaa haidisplay application zake kwenye screen inaonyesha ka mwangaa sijui nini ? Na...
0 Reactions
4 Replies
630 Views
Habari wadau! Natafuta wapi naweza kununu Lye yenye 100% kuanzia kilo moja nk. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji Jug Kettle/Jagi la kuchemshia maji. Liwa na uwezo wa kubeba litres 3 na kuendelea. Anayeuza au anayefahamu ninapoweza kupata naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kichwa cha thread hapo Juu chahusika. Zipo zaidi ya ekari 50. For serious Customers, tuwasiliane. Mahali lilipo: Kikiji cha " Farm 17/ Farm Seventeen" Mazao yanayofaa: Ufuta, Mbaazi, Kunde...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hi, I am looking for business partner who is willing to invest at list 2 Hours a day in a business dealing with health and beauty products. Preferably someone in Dar Es Salaam. If you will be...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kifedha na yupo teyari kuwekeza katika sekta ya afya naomba anipm tuzungumze zaidi. Asanteni na kazi njema.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UKARA FISH GROUP.karibuni mpate dagaa wa kukaanga walio na viungo na wa kawaida kwa bei ya jumla. Tunapatikana mwanza na mikoani tunatuma Toa oda 0759292980
3 Reactions
35 Replies
9K Views
urefu mita 30 upata mita 15 kimeshapimwa na kimepewa namba kiwanja kipo mwanza luchelele near st agustine university bei mil 4 tu
1 Reactions
10 Replies
2K Views
JAMAA WANAITWA almarcontainergroup (ALMAR) MAWASILIANO WEBSITE FACEBOOK PAGE 57 Yasser Arafat Road, Oysterbay Dar es Salaam 0682 829 103
0 Reactions
4 Replies
3K Views
<br />Kama mnavyoiyona hp wadau..bado ni mpya kabisa, imetumika miez 8, haina tatizo lolote ni nzuri kwa biashara bei ni <br />Tsh 580,000/= kama unahitaji njoo PM tuzungumze biashara. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Flat-Screen TV (ya brand ya HomeBase) na Deki (ndogo ya RISING), vimetumika 1 month, bado vipya kabisa, vinauzwa vyote kwa Laki 2 cash. Siwezi kuu pload picha. Note: TV haina stendi, imeshauzwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji TILL zinauzwa: Voda = 150,000/= Tigo = 150,000/= Airtel =130,000/= Halotel =130,000/= Karibuni sana kwa biashara. Ni zipo moja moja tu nilikuwa nafanyia biashara mimi sasa nmeamua...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa sababu zilizo nje ya Uwezo wetu PD proxy,TroidVPN na DroidVPN hazipatikani tena hivo kama ulikuwa na acc ya Pd proxy i-pause na kama haujui jinsi ya kupause ntakupa msaada: Pia wale wa...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Back
Top Bottom