Soko la mahindi kibaigwa

Soko la mahindi kibaigwa

Mtili wandu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
10,529
Reaction score
15,224
Wadau nauliza mahindi ya kibaigwa yanatoka vijiji gani? Kuna mtu alinieleza yanatoka kilindi lkn kijiji hajanitajia nataka kujaribu hiyo biashara mwenye maelezo ya kutosha anieleza tafadhali.
 
Kibaigwa kilo ni shiling ngapi?
 
Mkuu elezea na yanakotoka basi, gharama za usafiri na mambo mengine yanayohusu biashara hiyo.
Nitaeleza kwa wanaotoa Mkoa wa Morogoro wilaya ya Kilosa,
Bei ya gunia la debe 7 ni sh. 45,000
Mahindi ya Kilosa ni mazito gunia linato hadi 135kg
Gharama za usafiri huwa ni sh. 5,000 kwa kila gunia
Ushuru ni sh.2,000 kwa kila gunia

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Kilosa vijiji gani yanapatika hayo mahindi
 
Back
Top Bottom