Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wanajamii foroum! Last 3 weeks nilitangaza kuuza shamba! Nilikaa na madalari na wazoefu wa bei za viwanja wakanipa bei Shamba lipo barabarani kabisa suitable kwa Filling...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta mtu mwenye uzoefu na biashara ya samaki kutoka singida nahitaji samaki aina ya perege kutoka singida au aina yoyote inayopatikana hapo singida.mawasiliano 0744990530 Sent using Jamii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Domain name za .com kwa TZS 15,000/= kwa mwaka Kwa mabloggers, Tunakufanyia setup kwenye blog yako bure blogyako.blogspot.com kwenda blogyako.com Ukihitaji Website hosting ipo kwa Bei ya Tsh...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Habarini jamana naomba kma kuna mtu wa sales kiwanda cha sigara nataka kupata details za juu ya kuwa agent au super dealer wa sigara kma kuna mtu ana information za kutosha nakuomba tujuzane...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye kuhitaji mchicha maeneo ya bunju na maeneo ya jirani tuwasiliane 0626810032 mda wowote
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Habari wakuu, naomba anayejua wapi ntapata bello za nguo za watoto za mtumba grade isiyo na lonya nyingi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu za hapa na pale, Kuna jamaa yangu amedunduliza pesa zake, anajaribu kupata usafiri wa kumrahisishia mishe za jijini hapa. Anataka kununua gari ndogo, kama tajwa hapo juu.Bajeti yake anaomba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Shalom, nina asali mbichi, iliyovunwa katika mazingira safi na salama pasipo kutumia moshi. Haijachanganywa na kitu na ipo katika kiwango bora. Ninauza kuanzia ujazo wa lita 1, 5 na 20. Pia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu napenda kufahamu zinapopatikana mashine za kupura au kupukuchua mtama wauwele na mtama wowote kwa ujumla. itakuwa vema kama tajulishwa aina na bei zake.Mimi nipo Dodoma NATANGULIZA...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
RANGERS MADISH; tunapenda kuwatangazia wateja wetu wa azamtv kuwa kuanzia tar 1.9.2017 kutakua na mabadiriko ya vifurushi kama ifuatavyo.. Azam pure 18000/= Azam plus 23000/= Azam play 28000/=...
3 Reactions
31 Replies
24K Views
Kwa mahitaji ya mageti, grills, vitanda vya chuma, fence za chuma, fenicha za garden *office partitions* , *Frosted glass* and *Tinted glass* Karibuni Autoguru workshop 0688767668//0715967107...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya *office partitions* , *Frosted glass* and *Tinted glass* Karibuni Autoguru workshop 0688767668//0715967107 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Gari IST inahitajika kuanzia namba B Nipo Dar Es Salaam Price ipo 5,000,000 top
0 Reactions
6 Replies
962 Views
Refers to the heading Above.
0 Reactions
4 Replies
955 Views
Hii, nauza garlic paste, kitunguu swaumu kilichosindikwa na hutumika kama kitunguu kingine kwa ajili ya kupikia,massage, scrubbing, steaming nk 100% kitunguu swaumu Jumla 3500 kuanzia PC 20...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
NAMBA T 711 DEH CC 1500 BEI 8.5ML KWA MTEJA AMBAYE YUPO SERIOUS MAELEZO ZAIDI NAMBA 0786855280
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Habar wandugu Naitaji kununua ps 3 au 4,kwa yeyote aliyonayo pls anitumie ujumbe private tufanye biashara
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wenye kuhitaji nyumba au chumba cha kupanga maeneo ya kimara basi hapa ndio mahala salama, njoo ukutane na watu wakuaminika upewe kinachokufaa. Sema unahitaji nyumba yenye sifa gani, hapa...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Habari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola, heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Ambaye anauza kioo cha Saloon, Tafadhali nipm tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom