Ukara Fish Group: Dagaa wa kukaanga wa Mwanza

changwe

Senior Member
Aug 6, 2014
159
44
UKARA FISH GROUP.karibuni mpate dagaa wa kukaanga walio na viungo na wa kawaida kwa bei ya jumla.
Tunapatikana mwanza na mikoani tunatuma
Toa oda 0759292980
IMG_20170407_130256.jpeg
IMG_20170407_130256.jpeg
IMG_20170407_161635.jpeg
IMG_20170407_161640.jpeg
IMG_20170408_092003.jpeg
IMG_20170408_092214.jpeg
IMG_20170429_121653.jpeg
IMG_20170502_125631.jpeg
 
Tunapima kwa debe yani ndoo kubwa elfu40 discount ipo ukichukua mzigo mkubwa
 
Hebu tuoneshe mnavowakausha kwanza, maana wengi usafi ni mtihani, onesha mazingira ya kazi tuone process ya ukaushaji na ukaangaji.
 
Hebu tuoneshe mnavowakausha kwanza, maana wengi usafi ni mtihani, onesha mazingira ya kazi tuone process ya ukaushaji na ukaangaji.
 
changwe nimeona ukaushaji mko vizuri, siyo kama wavuvi wa zamani kumwaga dagaa mchangani. Hebu nipe bei ya gunia la dagaa wazuri kabisa wasio na mchanga.
 
Safi sana...So mkuu hiyo 40,000 ni kwa waliokaanga right na viungo?Nipo Dar naweza chukua.But situmii mafuta ya Pamba...kama unewakaanga kwa mafuta ya alizeti au ya Sangara ni poa,au ata ya ufuta.Na jee si wachungu?maana najua hujawatoa utumbo.
 
Tunawakaanga kwa mafuta ya korie hawa sio wachungu ni watam sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom