Designer Manish Arora with Neerja Bhatia Etihad Airways Vice President Indian Sub Continent along with Etihad Airways crew at Lakmé Fashion Week Winter Festive 2017.
Designer Manish Arora walks...
Natafuta KINYOZI mwenye SIFA
1.Mwaminifu
2. Nidhamu kazini
3.Msafi na Mtanashati
4.Awe anaishi KAWE, MSASANI, KINONDONI au MIKOCHENI
Ofisi ipo MIKOCHENI "A" GEZA ULOLE, Sehemu nzuri na CENTER...
IPO Kinyerezi kwa Ditopile ina vyumba vinne sebule 2 jiko na sehemu ya chakula vyumba viwili ni master, ina full paving blocks na Maji baridi ya Kisima na wateja 11 wamefunga mita za maji.ina uzio...
Heshima kwenu wote,
Nahitaji kununua bunk beds maarufu kama double decker.Nahitaji ziwe za chuma au mbao ila zilizo kwenye hali nzuri.
Mwenye nazo tuwasiliane,sanjari na picha na bei pia...
Wadau, nauza wino wa rangi kwa printer ya rangi HP. Nauza sababu printer yangu imeharibika na imekuwa vigumu kuitengeneza. Rangi zilizopo Ni C9721A, C9722 na C9723 zipo tatu tatu kila moja. Bei...
Kampuni inajishughulisha na Plumbing and Water Sanitation. Imesajiliwa na ina vyeti vyote kutoka mamlaka husika ikiwa ni pamoja na CRB, BRELA & TRA. Kwa yeyote atakaekuwa interested, tafafhali PM...
Kiwanja kinauzwa Dodoma, kipo Buigiri njia panda ya chamwino, kina ukubwa wa hatua 59 kwa 47, kina jengo lipo kwenye lenta, lina vyumba vinne, sebule na dinning, bei ni million (12) kumi na moja...
Katika pita pita zangu nimekutana na wauzaji wengi wa viwanja na nyumba lakini cha kusikitisha asilimia 98 ya wauzaji hawana Hati. Ukakasi unakuja pale mtu anauza nyumba ya Millions 200 au zaidi...
Habari wakuu!.
mwaka 2015 nilianza kufanya huduma ya fedha kwenye simu ya m-pesa,tigopesa na airtel money. Kwakuwa nilikuwa sina vigezo vya kupata TILL moja kwa moja toka kwnye mtandao husika...
Natumai wana Jf wote mko salama bin salimini.
Baada ya kujua hali zenu nawakaribisheni katika kuongeza maarifa kupitia usomaji wa RIWAYA yangu iitwayo "HALIKUWA CHAGUO LANGU". Hakika ni kitabu...
Wadau nauliza mahindi ya kibaigwa yanatoka vijiji gani? Kuna mtu alinieleza yanatoka kilindi lkn kijiji hajanitajia nataka kujaribu hiyo biashara mwenye maelezo ya kutosha anieleza tafadhali.
Natengeneza Logo Tzs.20,000 pia nadesign Matangazo yakutumia kwenye social media e.g. whatsapp/facebook/instagram...!!!
Napatikana Mikocheni B,
Mwenye uhitaji...!!!
Whatsapp/Call: 0624132227
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.