Natafuta mbia wa biashara

Natafuta mbia wa biashara

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,435
Reaction score
1,626
Kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kifedha na yupo teyari kuwekeza katika sekta ya afya naomba anipm tuzungumze zaidi.
Asanteni na kazi njema.
 
Haujafafanua... biashara gani? upo wapi? mtaji kiasi gani? wewe ubia wako ni katika nin?

Fafanua boss
 
Wanakuja, ni suala la uvumilivu tuu kidoogo.

G.Don-Master.
 
Back
Top Bottom