Karibu katika usomaji wa riwaya

Karibu katika usomaji wa riwaya

nyamalagala

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
744
Reaction score
675
Natumai wana Jf wote mko salama bin salimini.
Baada ya kujua hali zenu nawakaribisheni katika kuongeza maarifa kupitia usomaji wa RIWAYA yangu iitwayo "HALIKUWA CHAGUO LANGU". Hakika ni kitabu ambacho hutotamani kukiweka chini Mara tu uanzapo kukisoma.Napatikana KIGAMBONI DSM. Pia kwa walioko MABIBO MWISHO wanaweza kujipatia nakala zao kwa urahisi.
Karibu ujipatie nakala yako na upate uhondo ambao umeanza kupotea kutokana sanaa ya fasihi hasa andishi kupuuzwa ama kukosa wadau.
Ni imani yangu kuwa riwaya hii itaziba ombwe lililopo la ukosefu wa fasihi ya kimamboleo yenye kuegemea kaida za Jamii.
Wasiliana na mtunzi bwana SADOCK GERALD kwa 0769796425.
Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom