nyakatende nyumbani
Member
- Dec 9, 2014
- 65
- 15
Tu exchange natoa cha startimes kipya kabisa na antena yake plus waya wake nipo dsm 0683 666702
Bei gani mkuuAcha kubadiishana hizi biashara za kijima au za wahenga barter trade afu unataka ubadilishane vits kwa Lexus.
Njoo nikuuzie king'amuzi cha Azam complete kikiwa na bundle ya mwezi mmoja kwa bei nzuri then hicho chako utakisukuma kwa muda wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubir bei mkuuAcha kubadiishana hizi biashara za kijima au za wahenga barter trade afu unataka ubadilishane vits kwa Lexus.
Njoo nikuuzie king'amuzi cha Azam complete kikiwa na bundle ya mwezi mmoja kwa bei nzuri then hicho chako utakisukuma kwa muda wako.
Sent using Jamii Forums mobile app