Nyumba inauzwa Kinyerezi

Nyumba inauzwa Kinyerezi

Fikira kali

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
8
Reaction score
0
IPO Kinyerezi kwa Ditopile ina vyumba vinne sebule 2 jiko na sehemu ya chakula vyumba viwili ni master, ina full paving blocks na Maji baridi ya Kisima na wateja 11 wamefunga mita za maji.ina uzio na fremu tatu bei150m maongezi yapo 0758041365
ni yangu
 

Attachments

  • IMG_20140917_084828.jpg
    IMG_20140917_084828.jpg
    30 KB · Views: 582
  • IMG_20140917_084454.jpg
    IMG_20140917_084454.jpg
    26.1 KB · Views: 580
200m kibanda kama hiki,mbona mnadharau pesa hii ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania!!why?
 
200m kibanda kama hiki,mbona mnadharau pesa hii ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania!!why?
Hebu nikumbushe kumbe JK aliitaje vile pesa yetu? Ya madafu? hahahhaahhaha ndio waliowekwa walinde nchi hawa, walivyosikia kulinda wakajua hadi uwe na bunduki, Poor Tanganyika
 
200m unaweza kujenga nyumba 2 kama hizo.
 
IPO Kinyerezi kwa Ditopile ina vyumba vinne sebule 2 jiko na sehemu ya chakula vyumba viwili ni master, ina full paving blocks na Maji baridi ya Kisima tsh 200m maongezi yapo 0758041365

Mbona imepigwa picha kimitego tego sana??
 
Kwa namna picha zilivyopigwa, inanishawishi kuamini kuwa hii nyumba siyo yako, na pengine haipo kwenye mauzo.
 
Kwa Mil 200 ukinipa cash najenga kama hizo tatu na nusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom