Nauza shamba

Nauza shamba

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Habari za majukumu wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu;

Ninauza shamba lenye square meter 2400 ( width 40 length 60)

Location: Mmbande kwa mbele kidogo kama km 2.5 mpakani na wilaya ya Mkuranga (Pwani).

Facilities: barabarani ipo vizuri na unafika mpaka site kwa gari,( n.b Maji bado na umeme upo mbali kidogo)

Kutoka Mbagala rangi tatu ni kama km 15 hivi.
(No middlemen, agent)
Price 6m

(Sikuweza kuchukua picha kwasababu sijafanikiwa kwenda siku za karibuni. But ni eneo lenye nyasi na mikorosho kiasi.)
 
dah 6m mkuu hilo shamba au kiwanja,anyway wanakuja wenye nazo
 
Back
Top Bottom