Eneo la heka 21 linauzwa bei rahisi!!

Eneo la heka 21 linauzwa bei rahisi!!

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
890
Reaction score
1,511
Habari ya leo? Kama atapatikana mteja wa kuchukua ekari zote 21 kwa (70 maongezi )ni sawa pia . Shamba ina mawe tayari na hati iko katika process. Eneo ni Fukayosi Bagamoyo.

1)Pana nyumba ya msimamizi na mabanda ya mifugo.
2)Ekari 11 zina nanasi za kuvuna Novemba mwaka huu. Jumla ni miche 128,000
3) Ekari zingine 10 ni za mazao mchanganyiko ya msimu pamoja na midimu
4) Maji ya kisima yamepimwa tyari bado kuchimba
5) Umbali ni 6km toka barabara kuu na mjia inapitika mwaka mzima
6) Udongo ni wa kichanga
Kwa mawasiliano unaweza kuniPM
 
Back
Top Bottom