ikigoma iwachu
Member
- Aug 23, 2013
- 71
- 10
Habari wadau, Natafuta simu ya kipato cha chini kama 250k hivi ila lumia. Sasa naziona hizi nokia na microsoft sokoni. Nashindwa kufanya choice kwani zinafanana. huwezi jua ipi ni orijinal au fake sasa mtaalaam anijuze maana bei zake sizijui vizuri, ukinisaidia Bei zake halisi. Itafaa sana