Mayai ya kuku wa kienyeji yanahitajika Mbeya

Mel James

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
367
Reaction score
299
Habari wadau?!

Kama kichwa kilivyoeleza hapo mayai ya kuku wa kienyeji wanahitajika kwa wingi mkoan Mbeya. Kama una access nayo naomba ni pm tufanye biashara.
 
unanunua kwa trei moja sh ngapi? mie na-produce tray kumi kwa siku na bei yangu ni elfu 10 per tray na nina uwezo wa kukuletea tray 100 kila baada ya siku 5! (1 Mill ) kama upo tayari ni pm lolongo longo sitaki. Nipo kibiashara zaidi
 
Safi kabisa.
 
Straight to the point man !!
 
Back
Top Bottom