Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kampuni ya GEMAB ENTERPRISES inayofuraha kukutaarifu kuwa imekuja na huduma kwa wateja wetu ambayo ni kama ifuatavyo:- ~ Usafi wa Godowns, ~Usafi wa site zilizomalizwa ujenzi, ~Usafi wa nyumba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana nauza nyumba eneo la TABATA karibu na Baa maarufu Da'west park, eneo limepimwa na lina hati ya makazi, eneo liko barabarani kabisa, kuna nyumba kubwa ya vyumba vinne, kunaeneo tupu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimepata majanga inabidi niuze vifuatavyo, vyote vipo Dar: Pazia 3 za kifahari, pamoja na fimbo zake za madirishani ambazo kila moja ina urembo/ringi zake. Vyote kwa pamoja utanipa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wale wenye hizi simu na wanahitaji kuzifanya zitumie line za mitandao yote fanya kutuona:- 1. Huawei 2. Alcatel,vodafone,magnus bravo,zte & tecno.. 3. Smartphone za aina mbalimbali za kutoka nje...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Mada ya juu inahusika, nahitaji kijiko kwa ajili ya kuchonga kipande cha njia ya nyumbani kwangu. Urefu wa njia sio zaidi ya mita 300 kwahiyo ni kama kazi ya nusu saa au saa moja hivi. Kama...
0 Reactions
4 Replies
956 Views
Wanajukwaa Kwa wale wapenda kilimo ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari 97.83 kwenye kitongoji cha misufini wilaya ya handeni mkoani tanga, shamba liko kwenye tambarare Safi, halina mazao ya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Vitu hivi vipo sokoni changamkieni Kuna Sabufa Ndogo 70,000/= Jiko Dogo la Gesi 50,000/= Kitanda 5/6 180,000/= Godoro 160,000/=Bado ni jipya limetumika miez miwili tu Ni PM au kuniinbox nkutumie...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari nataka fremu kwa ajili ha ofis ya insurance, Maeneo nayopendelea Sinza, mwenge na kinondoni
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Hello Gentleman and ladies, Natafuta Gari ndogo ya kununua my budget is 3 milion wakuu wangu :)
0 Reactions
11 Replies
2K Views
2 acres for Tsh 30m..serious buyers only
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Money safe kama hii inauzwa bei maelewano kwa anayehitaji ani pm, ahsante
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Harier lexus 28.4 million
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwenye kuwa nayo au kujua duka linalouza compressor kubwa za kujazia upepo magari makubwa na mashine ya car wash ya kupulizia maji. anitafute kwa watsapp 0657561168.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta king'amuz cha dstv au azam na dish used hapa dar,,anaeuza nicheki
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Taasisi ya Costo Africa International inawatangazia nafasi za Masomo kwa kozi zifuatazo:- 1.Airline and Ticketing management 2.Hotel Management 3.Tour Guide 4.QT Muhula mpya utaanza tarehe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa huduma za mageti na ma grill tuwasiliane hapa Autoguru Workshop 0688767668 or 0715967107
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Karibu Autoguru Workshop tukutengenezee mageti na magrill imara Tunapatikana kinondoni manyanya mtaa wa brazil 0688767668 or 0715967107
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Karibu Autoguru workshop kwa mahitaji ya fenicha za nyumbani ofisini, mashuleni, vyuonina garden Tuwasiliane kwa namba 0688767668 au 0715967107 Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Karibu Autoguru workshop kwa mahitaji ya fenicha za nyumbani ofisini, mashuleni, vyuonina garden Tuwasiliane kwa namba 0688767668 au 0715967107 Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Back
Top Bottom