Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Msakuzi na Makabe.

Karibuni Mbezi makabe...naona haka kamji kashakuwa na maendeleo ya haraka ukiongeza na ujio wa Goba road na stand inayojengwa pale mbezi ya chini mmmhh naona hapo mbeleni patakuwa hapashikiki kwenye uuzwaji wa viwanja.
 
Sasa nawewe ulinunua Kiwanja kwa Dalali.
Nunua kiwanja kwa mwenye mali na upajue kwake.
Huko kuna DALALI mmoja anaitwa Juma Mohammed au Kisauti huyu jamaa aliniliza viwanja viwili sipendi hata kupasikia huko msakuzi
 
Hayo maeneo sio salama sana kuna wizi wa kuvunja madirisha muwe waangalifu..
 
Sory kwa kuingilia Uzi nauza eneo langu lipo madale,wilaya ya kinondoni ukubwa 35 x 35 mita .UMEME na MAJI vipo hapohapo. Bei kuanzia 22mil maongozi yapo .nicheki kwa 0657849984 au whatsap 0769868888
8add18d0fffc900579718d6ee976ad5c.jpg
 
Kilometer ngap kutoka bagamoyo road?
 
Back
Top Bottom