Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello Gentleman and ladies,
Natafuta Gari ndogo ya kununua my budget is 3 milion wakuu wangu 🙂
Natafuta Gari ndogo ya kununua my budget is 3 milion wakuu wangu 🙂
Tumen hapa hapa hata mie nahitaji ya m5 iwe ipsum, Subaru, Nadia au spacio new model.Tupia namba tukumwagie mapichapicha fasta
Nadia ninayo Kali nibalaa ml.4tuTumen hapa hapa hata mie nahitaji ya m5 iwe ipsum, Subaru, Nadia au spacio new model.
😀😀😀😀Kwa bajeti hiyo usiwaze kuhusu parking coz litakuwa linalala kwa mafundi.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kwa bajeti hiyo usiwaze kuhusu parking coz litakuwa linalala kwa mafundi.
Zinamanishaga nn hizo DDDD😀😀😀😀
Hicho ni kicheko. Kama simu yako inaonesha DDD, basi ujue hiyo simu ni ya kizamani sana. Inabidi ujipige ununue ya kisasa!Zinamanishaga nn hizo DDDD
MwaaaaaHicho ni kicheko. Kama simu yako inaonesha DDD, basi ujue hiyo simu ni ya kizamani sana. Inabidi ujipige ununue ya kisasa!