simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Harier lexus
28.4 million
28.4 million
Lexus ni yale magari luxury ya toyota kwahiyo unaposema una Harrier Lexus mtu mwenye kujua anaelewa hiyo ni more luxury car au sexy zaidi kuliko Harrier ya kawaida japo zote ni toyota ndiyo maana hata bei zake huwa juu zaidi ya toyota ya aina hiyo hiyo ambayo si Lexus.Hivi hii gari inaitwa harrier lexus au ni lexus?wajuzi wa mambo embu nirekebisheni pls