Hapo nyumbani hujaangalia kijiko kwenye vyombo kabatini mkuuMada ya juu inahusika, nahitaji kijiko kwa ajili ya kuchonga kipande cha njia ya nyumbani kwangu. Urefu wa njia sio zaidi ya mita 300 kwahiyo ni kama kazi ya nusu saa au saa moja hivi.
Kama unahusika na kazi hizo njoo tuongee
DuuhHapo nyumbani hujaangalia kijiko kwenye vyombo kabatini mkuu