elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Ni mpya boxed
Bei 480000 kila moja
Bei 480000 kila moja
Zikibaki hadi Alhamis nitainunua moja kiongoziNi mpya boxed
Bei 480000 kila moja
![]()
![]()
![]()
Karibu sana kuna moja kati ya hizo tatu ni 32gbZikibaki hadi Alhamis nitainunua moja kiongozi
Kiukweli kiongozi ningeipenda hiyo toka iphone yangu 3s ifariki sijanunua simu nyingine mpaka nifikie ukoo huo huo kwakuwa ladha yake naifahamu tofauti na haya makampuni mengine!!! Naamini kufikia kesho kutwa nitakuwa nipo vyemabKaribu sana kuna moja kati ya hizo tatu ni 32gb
Poa mkuu karibu sanaKiukweli kiongozi ningeipenda hiyo toka iphone yangu 3s ifariki sijanunua simu nyingine mpaka nifikie ukoo huo huo kwakuwa ladha yake naifahamu tofauti na haya makampuni mengine!!! Naamini kufikia kesho kutwa nitakuwa nipo vyemab
Vip mzigo bado upo.?nina 380 pm your number tuongee kama upo teyariNi mpya boxed
Bei 480000 kila moja
![]()
![]()
![]()
Umeisha mkuuVip mzigo bado upo.?nina 380 pm your number tuongee kama upo teyari