Nahitaji Gari Spacio,Raum au Carina TI

Nahitaji Gari Spacio,Raum au Carina TI

nyamkuta

Senior Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
126
Reaction score
96
Wakuu Salaam., nikiwa katika maandalizi ya mama watoto ambaye ni mjamzito,
Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D.,kutoka kwa mwenye mali. mwenye nayo ani PM niseme nae vizuri.
Budget kwa sasa ni 7M. Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom