Leo Asubuhi
Member
- Apr 5, 2017
- 64
- 43
Imesomeka vizuri hapo juu wadau, injini ya skygo pikipiki inahitajika kwa ajili ya Ku fix kwenye Honda 110 .Mwenye nayo au anayejua bei na wapi ziliko anijuze
Nawasilisha wakuu wangu
Nawasilisha wakuu wangu