NATAFUTA MASHINE YA KUUZIA JUSI (JUICE DESPENSER)

NATAFUTA MASHINE YA KUUZIA JUSI (JUICE DESPENSER)

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,714
Hello!

Bandugu naomba km kuna mtu aweza kuwa na mashine ya kuuzia juisi (Juice Despenser) iwe kubwa kidogo anitafute pia kama unajua unaweza kunisaidia namna rahisi ya kuipata niko dsm. Hasa bei zake.

0715365934.

Please msaada.
 
Mimi nauza juice dispenser mpya kabisa
warranty 1 year
iko ya matank 2 880,000
iko ya matank 3 1,160,000
kila tank 1 lina Lita 18
0713662655 napatikana kariakoo dar
 
Back
Top Bottom