Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums,
Nauza mahindi mabichi (gobo) heka moja. Hivyo nahitaji mnunuzi tafadhali, Shamba lipo Mlandizi bonde la Mtoruvu, maarufu kama Kivukoni kwa Mpili.
Mwenye...
Habari zenu wana janvi. Jaman kama kuna mfanyabiashara humu ndani naomba anisaisie ivi viatu bei ya viatu being gani? Huku kwetu Mbeya reja reja vinauzwa7000. Sasa nahitahitaji kujua being take ya...
Husika na kichwa cha habari hapo juu nauza Simu tajwa hapo juu Simu ni sawa na mpya kabisa kwani imetumika miezi 3 tu na sababu ya kuuza ni sababu za kiuchumi Simu ina charger Yake original,ina...
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver
Kuanzia SAA 5asbh
Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh
Au weka oder kupitia 0713691101 24/7
280,000 tshs
Set ni 3*2*1*1
Freely door to door
Karibuni
Mimi nina biashara yangu ya asali mbichi kwa yeyote mwenye uhitaji anitafute kupitia hii namba 0654553163 napatikana Dar es Salaam. Nauza kwa liter na jumla bei rahisi tuwasiliane.
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver ya cover sofa set
Kuanzia SAA 5asbh
Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh
Au weka oder kupitia 0713691101 iko hewani 24/7 pia kwa picha zaidi njoo...
Habari wakuu,katika utafiti mzito nilichogundua hili jukwaa ni la madalali watu janja janja ukikaa kizembe utakuta mwana si wako yani mtu anakudalalia ukiwa macho duuuh asalale viongozi hii ni...
Habari kama kichwa kinavyojieleza inahitajika nyumba yenye chumba chenye choo ndani pamoja na sebule maeneo ya (ubungo - mawasiliano)
contacts: 0717 351717 au 0782 789980
Hello, natumaini wazima, ngependa kuongelea kuhusu animations kidogo japo haijapewa kipaumbele sana japo ni muhimu sana hasa technology inavyozidi kukua tunahitajika kuboresha matangazo yetu...
Habarini za Mchana,
Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es Salaam.
Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya...
Habari wakuu.
Kama wasemavyo wahenga 'ukishindwa kupanga, basi umepanga kushindwa' .Pia kitaalamu unapotaka kufanya jambo lenye athari na maisha yako lazima uwe na mpango maalum kwani mpngo mbovu...
Habari za kazi wapenzi.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo, natafuta gari la kuanzia maisha. Budget yangu ni 5M. Ila kama gari iko vizuri sana naweza nikajipiga piga zaidi nifike bei...
Specifications:
Aina ya laptop ni mg 101 a3 ,
Ram 2 gb,
Cpu 1.67 ghz,
Rard disk 320 gb,
Bei yake 280,000/= taslim
Inatunza charge kwa masaa 6+, hard disk za 320 gb pia zinapatikana kwa 90,000...