mommythebest
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 516
- 617
Habari za kazi wapenzi.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo, natafuta gari la kuanzia maisha. Budget yangu ni 5M. Ila kama gari iko vizuri sana naweza nikajipiga piga zaidi nifike bei.
Vits, Spacio, Raum or the like, will do me good. Nitam-DM ambaye yupo tayari tufanye biashara
[HASHTAG]#maishaborakwakilamtz[/HASHTAG]
[HASHTAG]#vyumavimekaza[/HASHTAG]