We supply and install food quality cold rooms for commercial and industrial use, mortuary chambers and hospital cold rooms and also we are suppling solar system and aircondition for home use.
For...
Naomba kuuliza, wapi naweza nikapata meza ya plastic kama zile wanazotumia watu wanaosajili laini?
Pia mwenye kujua bei yake naomba anijulishe.
Miguu ya hiyo meza huwa inaweza kutolewa na kuwekwa...
Bado jipya
Rangi ni zambarau (purple)
Halihitaji repair yoyote maana bado ni zima
Mtu akitaka anaweza kulitengeneza likawa sofa kamili
Lipo kinondoni B
Bei ni elfu 80000
Kwa atakayehitaji...
Baada ya kufanya utafiti wa kukufanya taarifa za Makampuni nchini, nimeamua kuwaletea orodha ya Makampuni nchini kwa gharama nafuu. Orodha Ina Makampuni 120000 Tanzania.
Orodha Ina:-
Jina la...
Wakuu habari za wakati,
Nimepata tatizo, sina cha kukwamuka zaidi ya kuuza gari yangu. Kiimfaacho mtu chake.Nimeshusha bei kutoka 7.8m mpaka 6.9m. Usisite kupiga simu, hatuwezi kushindwana...
Chuo cha Excellent Training Center kinawatangazia kuwa maandalizi ya QT na Resitters kwa mwaka wa masomo 2018 yameanza. Hivyo wahi mapema. Pia tunapokea darasa la saba waliofeli hata kama hajui...
Ondoa tumbo ukiwa nyumbani,fanya mazoezi ya mikono,miguu na kutengeneza mwili uliouhitaji siku zote ukiwa na kifaa hichi kinachoitwa revoflex_extreme
Kwa tsh 40,000 tu
Wasiliana nasi kupitia...
iphone imetumika nje ya nchi kwa wiki mbili
Iphone 6plus
64 Gb
Gold colour
inakuja na charger
Bei laki tisa
kwa maelezo zaidi piga 0783 132193
Karibuni
1. Ukubwa ni 40 X 40 square Miter
Bei ni Million 50
Kiwanja kipo umbali karibu miter 500 kutoka bagamoyo Road. Na pia kipo karibu na kambi ya jeshi ya kunduchi. Maji umeme vyote vipo...
Wadau,
Maisha ni kuchangamka na kuchangamka ni kuamka. nimeamua kuanza biashara ya kuuza TV za Mitumba kuanzia Inch 24, 28, 32 sasa kuna kijana wangu hapa Dar ndo nataka afanye hiyo biashara...
For your inquiries of houses/appartments or office space for rent Masaki, Oysterbay, Msasani, Mbezi beach.
Contact: 0689315582
Email: jo@jrrealestatedealers.co.tz
Website...
Inahitajika simu tajwa hapo juu, iwe used but in good condition au brand new with affordable price.
NOTE:
(a) Inatakiwa iPhone 5S tu, mnaouza simu brand nyingine tusameheane wala sihitaji
(b)...
Nauza 3G HSPDA modem mpya inayotumia laini zote , pia ina sehemu (slot) ya kuweka memory card hivyo utaweza kuitumia kama flash pia kwa kuweka memory yako kwenye hiyo sehemu.
Location: Napatikana...
Kama una mbao ambazo ushatumia tayari na unauza tuwasiliane, hata kama hujazitumia ila unauza bei ya chini kidogo.
Nipo sinza. Sehemu yoyote kwa dar nitazifata kama unazo.
********NShapata...
Tunafundisha Kompyuta kwa program za, MS WORD, ACCESS, EXCELL, POWERPOINT, INTERNENT AND E-MAIL, PUBLISHER n.k, kwa muda wa wiki tatu tu, vyeti vitatolewa kwa watakao hitimu. Tupo kinondoni...