Naomba kuuliza, wapi naweza nikapata meza ya plastic kama zile wanazotumia watu wanaosajili laini?
Pia mwenye kujua bei yake naomba anijulishe.
Miguu ya hiyo meza huwa inaweza kutolewa na kuwekwa (portable)
Nipo DSM kimara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.