jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
Tafadhali naomba mwenye kujua ntaipata wap mashine au mtambo wa kutengeneza barafu!!
Tofauti na mafrezer maana yanatumia umeme na muda mwingi sanamtambo wa barafu zipi ndugu tofauti na frezer
Kama ice cube zipo.ningetaka kujua nazipatajeIce cube au fafanua
Ninayo mashine mpyaaa ya kutengeneza ice cube,ilinunuliwa kwa ajili ya bar lakini haikuwahi kutumikaKama ice cube zipo.ningetaka kujua nazipataje