Natafuta kiwanja Arusha

Natafuta kiwanja Arusha

plasido divi

Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
90
Reaction score
21
Kwa anae uza kiwanja hapa arusha nahitaji kwa maeneo ya Engosheraton kisiwe mbali na shule ya Edmund rice au chekereni na kikatiti.
 
Ukubwa gani na bei gani ndyo budget yako mkuu viwanja vipo
 
shuka kule chini mkonoo ndo utapata kwa bei hyo, sasa ivi maeneo ya chini ya shule ya Edmund rice kumi kwa kumi wanauza 3.5M
 
Huu uzi utanifaa..

Mimi natafuta Shamba kwaajili ya kilimo maeneo ya Mlangarini au Manyire
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom